Jina : CHA.KI.TA
Makazi:  Nairobi, Kenya
Barua pepe:info@chakita.org

Kongamano (Kiswahili Na Utandawazi)

Itakuwa tarehe: 22-24 Oktoba, 2014

Mada katika kongamano: Kiswahili Na Utandawazi. Waliotoa hotuba: Prof. Said A. Mohamed, Prof. Kimani Njogu, Prof. Clara Momanyi, Prof. Rocha Chimera, Prof. Chacha Nyaigoti na Prof. Ken Walibora. Kongamano ilifanyika 'Kenya Institute of Curriculum Development' (KIE); Tarehe: 22-24 OKTOBA, 2014
Picha kwa Taifa Leo


Kongamano la CHAKITA mwaka wa 2013

Itakuwa tarehe: 21 Agosti, 2013

Kongamano la kimataifa la kuadhimisha miaka 50 ya maendeleo ya kiswahili nchini kenya.
Mada kuu: miaka hamsini ya kiswahili nchini kenya! Tumejifunza nini?
Tarehe: Agosti 21, 2013 katika Chuo Kikuu Cha Kikatoliki Cha Afrika Mashariki (CUEA), Nairobi.
Kongamano 2013.docx
Ratiba ya kongamano.pdf


Kongamano la CHAKITA mwaka wa 2012

Itakuwa tarehe: 23-24 Agosti, 2012

Chama cha Kiswahili cha Taifa (CHAKITA-Kenya) kitakuwa na Kongamano mnamo mwezi wa Agosti 23-24, 2012 katika Chuo Kikuu cha Kenyatta, mjini Nairobi.
CHAKITA 2012.pdf
Bango/tangazo la kongamano.jpg


Kongamano la CHAKITA mwaka wa 2011

Itakuwa tarehe: 11 - 12 Agosti 2011

Kongamano la CHAKITA mwaka wa 2011 litafanyiwa Nairobi tarehe 11 na 12 Agosti. Wajumbe watafika tarehe 10 Agosti. Kongamano litafanyiwa Lenana Conference Centre, Barabara ya Lenana
Ratiba - Nakala ya Agosti 9.pdf