Jina : CHA.KI.TA
Makazi:  Nairobi, Kenya
Barua pepe:info@chakita.org

Kongamano la Kiswahili 2014

Tarehe: 2014-10-22

Kongamano la Kiswahili 2014. Mada: Kiswahiili Na Utandawazi.
Watakaotoa Hotuba: Prof. Said A. Mohamed, Prof. Kimani Njogu, Prof. Clara Momanyi, Prof. Rocha Chimera, Prof. Chacha Nyaigoti, Prof. Ken Walibora
Kiswahiili Na Utandawazi

Kongamano la CHAKITA mwaka wa 2013

Tarehe: 2013-08-20

Kongamano la kimataifa la kuadhimisha miaka 50 ya maendeleo ya Swahili nchini kenya. Mada kuu: miaka hamsini ya Kiswahili nchini kenya! Tumejifunza nini? Tarehe: Agosti 21, 2013 katika Chuo Kikuu Cha Kikatoliki Cha Afrika Mashariki (CUEA), Nairobi.
Kongamano 2013.docx
Ratiba ya kongamano.pdf

Kongamano la CHAKITA mwaka wa 2012

Tarehe: 2012-08-20

Chama cha Kiswahili cha Taifa (CHAKITA-Kenya) kitakuwa na Kongamano mnamo mwezi wa Agosti 23-24, 2012 katika Chuo Kikuu cha Kenyatta, mjini Nairobi.
CHAKITA 2012.pdf
Bango/tangazo la kongamano.jpg

CHAKITA sasa yapitakana kwa mtandao

Tarehe: 2011-08-10

Sasa mnaweza kujua mengi kuhusu CHAKITA na kupata nakala kadha katika mtandao. Nyote mnakaribishwa kuchangia na kutoa maoni yenu katika ukumbi wa mjadala.

Kongamano la CHAKITA mwaka wa 2011

Tarehe: 2011-08-10

Kongamano la CHAKITA mwaka wa 2011 litafanyiwa Nairobi tarehe 11 na 12 Agosti. Wajumbe watafika tarehe 10 Agosti. Kongamano litafanyiwa Lenana Conference Centre, Barabara ya Lenana