TAALUMA

TAALUMA ni jarida la kimataifa la Chama cha Kiswahili cha Taifa-Kenya (CHAKITA). Jarida hili hutokea mara mbili kwa mwaka (Julai na Novemba) na huchapisha makala ambazo hazijawahi kuchapishwa katika taaluma ya Lugha, Isimu na Fasihi ya Kiswahili na lugha nyingine za Kiafrika. Kabla ya kuchapishwa kwa makala, wahariri wawili au zaidi huhakiki kwa kina kisha kutuma kwa mwandishi husika ili afanye marekebisho. Makala yasiyozingatia masharti yaliyowekwa na wahariri hayawezi kuchapishwa.
JIUNGE NASI ILI KUPOKEA MACHAPISHO KWENYE BARUA PEPE

Jarida hili hutokea mara moja kwa mwaka (Novemba) na huchapisha makala ambazo hazijawahi kuchapishwa katika taaluma ya Lugha, Isimu na Fasihi ya Kiswahili na lugha nyingine za Kiafrika. Makala yasiyozingatia masharti yaliyowekwa na wahariri hayawezi kuchapishwa.