Matumizi ya Teknohama na Lugha ya Kiswahili kama Nyenzo ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo: Tathmini ya Majukwaa ya Youtube na Facebook
Ulimwengu wa sasa umeshuhudia athari chanya na hasi katika matumizi ya teknolojia. Kwa hakika, karibu kila eneo la maisha ya binadamu katika ulimwengu wa sasa linashuhudia matumizi ya aina mbalimbali…