Jina : CHA.KI.TA
Makazi:  Nairobi, Kenya
Barua pepe:info@chakita.org

CHAKITA ni chama kilichobuniwa 1998 ili kutetea, kuimarisha na kuendeleza matumizi ya Kiswahili nchini Kenya . Kupitia juhudi za Chama, Kiswahili ni lugha ya taifa na rasmi nchini kwa mujibu wa Katiba ya Kenya (2010) Ibara ya 7. Chakita hushirikiana na vyama vingine vya Kiswahili, kama vile Chama cha Kiswahili cha Afrika Mashariki (CHAKAMA).

RAJUA

an image
Asasi madhubuti zaidi barani Afrika ya kuimarisha Kiswahili.
DIRA

an image
Kuimarisha maenezi na matumizi ya Kiswahili kupitia utafiti, elimu, machapisho, makongamano na uraghibishaji.
MAADILI MUHIMU

an image
Ushikamano, kujitolea, kushirikisha, uaminifu.

Kongamano la Kiswahili 2014    Tarehe: 2014-10-22

Kongamano la Kiswahili 2014. Mada: Kiswahiili Na Utandawazi.
Wat
Soma zaidi...

Kongamano la CHAKITA mwaka wa 2013    Tarehe: 2013-08-20

Kongamano la kimataifa la kuadhimisha miaka 50 ya maendeleo ya Swahili
Soma zaidi...

Kongamano la CHAKITA mwaka wa 2012    Tarehe: 2012-08-20

Chama cha Kiswahili cha Taifa (CHAKITA-Kenya) kitakuwa na Kongamano mn
Soma zaidi...

CHAKITA sasa yapitakana kwa mtandao    Tarehe: 2011-08-10

Sasa mnaweza kujua mengi kuhusu CHAKITA na kupata nakala kadha katika
Soma zaidi...

Kongamano la CHAKITA mwaka wa 2011    Tarehe: 2011-08-10

Kongamano la CHAKITA mwaka wa 2011 litafanyiwa Nairobi tarehe 11 na 12
Soma zaidi...