CHAMA CHA KISWAHILI CHA TAIFA
KENYA

TAALUMA ni jarida la kimataifa la Chama cha Kiswahili cha Taifa-Kenya (CHAKITA). Jarida hili hutokea mara moja kwa mwaka (Novemba) na huchapisha makala ambazo hazijawahi kuchapishwa katika taaluma ya Lugha, Isimu na Fasihi ya Kiswahili na lugha nyingine za Kiafrika. 

HISTORIA FUPI YA CHAMA CHA KISWAHILI CHA TAIFA – KENYA (CHAKITA)

Wazo la kubuniwa kwa Chama cha Kiswahili lilianzishwa mwaka wa 1997 katika Kongamano lililoandaliwa na Idara ya Kiswahili, Chuo Kikuu cha Moi.  Lengo la kongamano hilo lilikuwa ni kutathmini iwapo kulikuwa na uwezekano wa kuwa na kongamano ambalo lingewaleta pamoja wataalam wa Kiswahili nchini Kenya

Soma Zaidi…

Kongamano La 2021

Kongamano la 2021 litafanyika katika Kaunti ya Baringo

(Kenya School of Government), mjini Kabarnet

Tarehe 25 – 26 November 2021

Baadhi Ya Machapisho Yetu

Viongozi wa CHAKITA

JIUNGE NASI ILI KUPOKEA MACHAPISHO KWENYE BARUA PEPE

Jarida hili hutokea mara moja kwa mwaka (Novemba) na huchapisha makala ambazo hazijawahi kuchapishwa katika taaluma ya Lugha, Isimu na Fasihi ya Kiswahili na lugha nyingine za Kiafrika. Makala yasiyozingatia masharti yaliyowekwa na wahariri hayawezi kuchapishwa.