Uhakiki Linganishi wa Kimofosintaksia katika Ngeli za Luganda na Kiswahili Sanifu
Luganda na Kiswahili sanifu hutumia mfumo mmoja wa uianishaji wa ngeli. Licha ya kuwa lugha hizi ni za nasaba moja, zinadhihirisha upekee katika uainishaji na matumizi ya ngeli kimofolojia na…